waganga na wauguz ambao inasemekana walishiliki katika kutibu wanaharakati walioumia wakati wa maandamano ya kupinga erikal wamehukumiwa vifungo vya miaka tofauti kati ya miaka 5 mpaka 15 jela.
waganga hao walikuwa wkatika hospitali ya sulmania ,wanashutumiwa kwa kuwatishia walinzi wa usalama kwa kutumia siraha ,visu n a vifaa vungne vya kufanyia upasuaji.msemaji wa wizara ya habari bahrain sheikh mubarak bdukaziz khalifan alisema "waganga hao na wauguz walifanya kitendo cha kigaidi kwa kuwazuia walinzi wa usalama wasifanye kazi zao na kushiriki katika maandamano kinyume nasheria"

No comments:
Post a Comment