kesi inayomkabili Elizabeth Michael "LULU" dhidi ya mauaji ya muingizaji STEVEN KANUMBA Inatarajiwa kuendelea tena leo hii tarehe 23/03/2012 jijini Dar es salaam baada ya kuwa imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na hali ilyompelekea LULU KUPelekwa rumande.
No comments:
Post a Comment