Unamkumbuka
mwanamke huyu wa Marekani aliyejifungua watoto wanane mapacha,Nadya Suleman? Mambo
yamekuwa magumu kutokana na kuwa na madeni yanayofikia £600,000 na sasa ameamua
kucheza kwenye filamu ya ngono ili kujiokoa na mtihani huo!
Nadya, 36, alikuwa
tayari mama wa watoto sita na kuzaa wengine wanane katika kipindi cha miaka
mitatu tu na sasa ana watoto wanne wa kike na kumi wa kiume.
kwa maelezo zaid bofya http://www.leotainment.blogspot.com
No comments:
Post a Comment