Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice
Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi
wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa
mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio
katikati) na Waandishi wa Habari. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya
Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
Washiriki wa Big Brother Afrika 2012, Julio na Hilda.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother
Stargame 2012, Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big
Brother.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother
Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la
Big Brother.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akijibu maswali ya waandishi wa habari.
Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother
Stargame 2012, Julio Batalia akijibu maswali huku pembeni yake
yupo Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Barbara
Kambogi.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother
Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akiendelea kujibu maswali huku pembeni
yake ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
Mmiliki wa Kajunason Blogspot Bw. Cathbert
Kajuna akiongea na aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012,
Hilda Reiffenstein.
No comments:
Post a Comment