Mara baada ya miaka takriban mitano(5) ya ndoa Tom Cruise and Katie Holmes hatimaye wasanii hawa maweamua kuachana ,hizi taarifa ni kwa mujibu wa watu karibu wa wasanii hawa.
Tom Cruise, ni American film actor and producer. Amewahi kupewa chance ya kushiriki katika nomination tatu za Academy Awards na ameshinda takiriban mara tatu katika Golden Globe Awards :Filamu alizocheza ni kama Born on the Fourth of July (1989), Jerry Maguire (1996), Magnolia (1999). ameshiriki pia katika filamu series ya Mission Impossible .
He has starred in many successful films, including: Rain Man (1988), Days of Thunder (1990), A Few Good Men (1992), Vanilla Sky (2001), Minority Report (2002), The Last Samurai (2003), Collateral (2004), na War of the Worlds (2005).
mwaka 2005,cruise na Paula Wagner walijikita kwenye studio yao kuproduce filamu inayojulikana kama United Artists film studio kama producer
"This is a personal and private matter for Katie and her family," says Holmes's attorney Jonathan Wolfe. "Katie's primary concern remains, as it always has been, her daughter's best interest."
The soon-to-be-ex couple are parents to 6-year-old daughter, Suri.
Cruise, 49, and Holmes, 33, were married in an Italian castle in November 2006.
Tom cruise na Katie Holmes in May 2009
ikumbukwe kuwa ndoa ya msanii HOLMES ni ya kwanza na huku upande wa actor yaani CRUISE ni ndoa ya tatu mara baada ya kuachana na wapenzi wake(mabishoti wa zamani) kama Nicole Kidman na Mimi Rogers
No comments:
Post a Comment