“Siku ya mwisho kupiga kazi Bush House,” ni ujumbe
kwenye mtandao wa Facebook ulioandikwa na mtangazaji mkongwe wa idhaa ya
kiswahili ya BBC, Saleem Kikeke akiambatanisha na jengo la Bush house ambapo
ndio makuu ya BBC London.
Jengo hili litakuwa na miongoni mwa nyumba vya habari
(newsrooms) kubwa zaidi duniani.
“For the first time in our history we are bringing
together the London headquarters of our News operations, our Radio operations
and our Television operations in the most advanced digital broadcast and
production centre in the world.”
Mark Thompson, BBC Director General
No comments:
Post a Comment