others.
INASIKITISHA.....DAH MAISHA GANI HAYA!!! Huyo bibi anaitwa Kalyani Das ana umri wa miaka 60,na mume wake Pachugopal ana umri wa miaka 65.Bibi Kalyani kaamua kumfunga mume wake kwenye nondo za dirisha la treni kwa kutumia mnyororo na kufuli, wakati wakisafiri kutoka kijiji wanachoishi kuelekea Kolkata, bibi anakofanya kibarua chake.Bibi Kalyani anasema kuwa mume wake huyu ana matatizo ya akili ambayo yalimuanza miaka kama saba iliyopita,na yamesababishwa na matatizo ya kifamilia.Kalyani anasema anachukua hatua ya kumfunga mumewe kwenye nondo ili asimsumbue na asitoroke wakati akifanya kibarua chake.Kalyani anafanya kazi katika mamantilie iliyo kando ya barabara mjini Kolkata kwa ujira wa rupia za India 50, wastani wa Tsh 2000 kwa siku. Kalyani na Pachugopal waliozeshwa na familia zao Kalyani akiwa na umri wa miaka 10 na wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 50 sasa.Lakini Kalyani anasema anaomba mungu mume wake huyo afe ili wapumzike na adhabu wanazopata.Picha hii alipigwa na mpiga picha Rupak De Chowdhuri wa Reuters Septemba 19 mwaka jana...WANA NDOA MNAJIFUNZA NINI KUTOKA KWA WANA NDOA HAWA?Sana tu RT@IbrahimZacharia:@FidQ aaah. Nakusomaga sana mitaa ya kwe2. Cku moja ntakuomba appointment kwa ajili ya intrvw ya magazine ye2.Tweets
Apr 19, 2012
YALIYOJIRI FACEBOOK & TWITTER
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment