mtangazaji wa kipindi cha mikasi Tv ,salama jabiri nawe alikuwepo
watu wanamchezo,maji yakaendelea kumwaga ,aisee siku ya kuzaliwa kama ni hv watu inatubidi tuvae magamba ya samaki au......!!!!!!
Marco Chali Akimpa Ndoo Ya Kwanza AY
muenekano wa keki ni kama huu ,utazani magita yetu ya udogoni,ila imependeza
wakishindwa maji watakumwagia kamvinyo kidogo ,japo akili ichangamke kidogo
Picha zote ni kwa msaada wa sammisago.blogspot.com
No comments:
Post a Comment