Mshatkiwa
Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na
kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa Upelelezi
haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth
Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo
hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa
rumande.
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
Mshtakiwa
akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika
ulinzi mkali kutoka kwa askari Magereza.Picha na Mdau Khadija Kalili
NA 24 seven 365
No comments:
Post a Comment