Aug 20, 2012

manchester united inajiandaa kumsajili Ricardo kaka

      ricardo kaka   
klabu ya Manchester United inajiandaa kumsajili kwa mkopo wa muda mrefu mshambuliaji Ricardo Kaka wa Real Madrid ya Hispania.
Real Madrid ipo tayari kumuuza Kaka kwa mkopo wakati ikiwa inajiandaa kumsajili mshambuliaji Luka Modric.
Mbali na Manchester United, klabu zingine zilizoonyesha nia ya kumsajili Kaka ni Galatasaray ya Uturuki na AC Milan ya Italia.
Kocha Mkuu wa Manchester United, Sir Alex Ferguson anampa nafasi kubwa Kaka, lakini pia ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kiwango chake na majeruhi, ambayo yamekuwa yakimuandama mara kwa mara.
 Follow @mwendapole1 on Twitter!
Like us on Facebook!

No comments:

Post a Comment