Mar 14, 2013

HERI YA KUZALIWA LAURENT BAHINDA

heri ya kuzaliwa kwa rafiki yangu, ndugu yangu bwana Laurent bahinda, ambapo siku kama ya leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa. Namuombea kwa mwenyezi mungu amjalie afya njema na uzima afikishe miaka zaidi ya elfu moja.
HAPPY BIRTHDAY MY FRIEND





Follow @mwendapole1 on Twitter!
Like us on Facebook!