YALIYOJIRI FACEBOOK,TWITTER, JAMII FORUMS


INAMAANISHA KUWA HAIWEZEKANI WAINGIE LOSS KWA MAPENZI YA MTU BINAFSI,,,,HAPO NI WAZI KUWA WATAKUWA WANAJUA WATAJILIPA VIPI,,UKUBALI UKATAE...!KWELI MSAADA UNAHITAJIKA...LAKINI WANAOSIMAMIA HIYO SHOW NDIO TATIZO...!
 
Moyo unanidunda kweli kweli.....nimepigiwa simu kutoka home nasikia kuna shangingi limekuja na Dereva limepaki tu....dah...huyu JK mbona ananiweka roho juu hivi. Saa tisa nayo iko mbali kweli kweli. bado saa moja tu nifunge akaunti yangu ya facebook. maana akinichagua tu nafunga hii akaunti, msijifanye mnanijua sana. waone kwanza!!!!

No comments:

Post a Comment