Feb 29, 2012

madhara ya usagaji ni yapi?

USAGAJI. JE, HAYA NDIO MATOKEO YA UTANDAWAZI? 

international friendly match

matokeo Friendly International match
(Half-Time)
Germany 0 - 1 France
Ireland 0 - 0 Czech Republic
Italy 0 - 0 USA
Northern Ireland 0 - 1 Norway
Poland 0 - 0 Portugal
Slovenia 1 - 1 Scotland
Wales 0 - 1 Costa Rica
Italy 0 - 0 United States
Northern Ireland 0 - 1 Norway
Poland 0 - 0 Portugal
Rep. of Ireland 0 - 0 Czech Republic
Slovenia 1 - 1 Scotland
Austria 1 - 0 Finland
Croatia 1 - 1 Sweden
Greece 1 - 1 Belgium
Switzerland 0 - 1 Argentina (Messi 20'
 
joet barton on twitter scott parker ahead of steven gerrard ........ im spechless lol -SG8-
Scott Parker completed 97% of his passes in the first half, a higher rate than any of his England team-mates.

Feb 21, 2012

shida ya maprnzi kwa mtu usiye mpenda ni haya


Je unafahamu dharau ya mambo madogo inaweza kuleta shida katika maisha????

Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na mambo mengi ikiwemo mazuri na mabaya,sasa katika hayo mambo ni muhimu kuwa makini ili usijikute unadharau yaliyo muhimu mfano kama kudharau kazi ambayo inakuingizia kipato au kudharau kazi za watu wengine,,pia kutoa majibu yasiyopendeza, kutosalimiana na watu,, kutoonyesha kujali mtu anapopata matatizo na mambo mengine mengi yanayoendana na hayo.

CSKA Moscow vs Real Madrid 2/21/2012 Uefa (1-1)

Napoli 3-1 Chelsea All Goals & Full Match Highlights 21-2-2012.

full time

Feb 15, 2012

WANAYOSEMA WANAHARAKI KUHUSIANA NA TUNZO ZA KILL MUSIC AWARDS

mapenzi ni nini?

MAPENZI NI NINI?
Katika hali ya kawaida, mapenzi hayaelezeki kuwa ni nini. Ni vigumu sana mtu kukueleza maana ya mapenzi ndiyo maana kila mtu ana uelewa tofauti juu ya suala hilo.

Mtaalamu mmoja wa masuala ya mapenzi Davis Kurt kutoka Colombia, aliwahi kuyaelezea mapenzi ndani ya kitabu chake cha More About Love, ambapo alisema; ‘Love is natural feelings, which take place from the deepest part of your heart upon somebody or something else’ akimaanisha kuwa mapenzi ni hisia za asili ambazo huchukua nafasi kutoka sehemu ya ndani kabisa ya moyo juu ya mtu au kitu chochote. Tena bila kuwa na visingizio au masharti ya aina yoyote.

HISIA NI NINI?
Huu ni msukumo wa vichochezi katika homoni za ndani ya mwili ambazo hutokea kutokana na mazingira husika.
Lakini huwa tofauti kati ya mtu na mtu na ndiyo maana watu hutofautiana madaraja ya kupenda.

Mfano halisi ni kwamba, utakuta mtu anapenda sana wanawake weupe, lakini mwingine hataki hata kuwaona.
Lakini mapenzi siyo mawazo au uamuzi wa mtu, bali mapenzi ni hisia ambazo hutokea pasipo uamuzi wa mtu.

Kutokana na hali hiyo, utasikia mtu akisema ‘sijui nimempendea nini huyu mwanaume’ ni kweli yeye hajaamua lakini hisia zimefanya awe hivyo.

USIRUHUSU MAPENZI YAKUTESE
Kwa nini mapenzi yakuumize? Unakosea wapi, kwanini ukataliwe kila mara? Haya ni baadhi ya maswali ya kujiuliza kuhusu mateso ya mapenzi.

Kamwe katika maisha yako usiruhusu mapenzi yakutese, najua yawezekana kila mpenzi unayempata haudumu naye, wewe ni mtu wa kulia kila siku, hujawahi kufurahia maisha hataa siku moja, jipange upya.

Thamini na jali zaidi maisha yako kwanza, fikiria kipi ni bora kati ya mapenzi na maisha yako, ni kipi kilitangulia? Kama maisha ndiyo yalitangulia kwa nini usijijenge kwanza kimaisha ndipo mengine yafuate?

Hata kama unateswa na mtu unayempenda kwa dhati, hata kama ni mzuri kushinda malaika, kwani bila yeye maisha hayaendi? Si kweli na kama unaweza kuishi bila yeye kwa nini akutese namna hiyo?

Mpenzi msomaji wangu, hakuna kitu kinachouma kama mapenzi endapo utakosea kanauni zake, ukaruhusu moyo wote kuelekea huko, hakika yatakutesa.

Hussen Machozi - Jelaa {Official Video}

tukiongelea wasanii wenye utunzi mzuri wa mashairi , na mpangilio wa mawazo huwezi kumsahau msanii huseein machozi kwa nyimbo zake anazotoa na alizotoa amekuwa ni kama model kwa wasanii wengine kuachana na tabia ya kuandika mapenzi duuh. katika nyimbo yake hii ya narudi jela imekuwaa ni nyimbo ambayo imeteka mind za watu katika siku za hivi karibuni. hongera sana huseein machozi kwa nyimbo yako zuri na yenye ujumbe tosha kwa wapendanao.

Hassan Ft Aslay - Vocha {Official Video}

watch it

HII NDO TABIA YA FREEMASONRY

Freemasonry kwa nijuavyo mimi ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki usio rasmi kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao.
Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wajitangaza kama shirika zuri tu .Lakini ukweli wenyewe ni tofauti.

Naomba niorodheshe mambo machache niliyoambiwa kuhusiana na Freemasonry.
1. Ni kweli Freemasonry kama ilivyo maana yake kwanza ilkuwa ni kundi la mafundi waashi (masons) au wajenzi kuwa lugha nyingine. Walikuwa niwataalamu waliobobea kwenye masuala ya ujenzi wa mahekalu na mabenki ya zama hizo zinazoitwa kwa kizungu (medieval times). Niliambiwa walikuwa ni watunzaji wa pesa za kanisa katoliki. Kwani walikuwa wanajenga mahekalu(cathedrals) za wakatoliki na mabenki/ mahandaki ya kuhifadhia pesa pamoja na kuzikia(catacombs). Niliambiwa wanaweza kujenga hayo maandaki wa utaalamu mkubwa kiasi kwamba ukiingia ndani ya hayo mahandaki bila ramani unaweza ukashindwa kutoka hata unaweza kupotelea humo humo ndani usiweze kutoka tena. Hicho ndicho kilichokuwa ni kiwango cha utaalamu wao.
2. Kwa kuwa walikuwa ni waashi ndiyo maana alama zao ni vifaa vya ujenzi. Pima maji n.k
3. Inasemekana mji mkuu wa marekani (Washington DC) ulisanifiwa na kujengwa na Freemasons. Na inasemekana ni mji makini ambao umejengwa ukizingatia pembe tatu zenye nyuzi zinazowakilisha u freemason.
3. Ikatokea kipindi ambapo hawa freemasons wakaasi kwa kuanza kujishirikisha na mambo ya nguvu za giza. Wengine wanasema walianza kuiba pesa za kanisa katoliki, lakini ukweli halisi haujulikani. Kutokana na sababu hizi na zinginezo ambazo ni siri kati ya kanisa katoliki na freemasons, Freemasons wakafukuzwa kutoka ukatoliki. Ndio maana hakuna maelewano kati ya freemasons na wakatoliki. Wakatoliki wakaanzisha shirika jingine badala ya hao freemasons lijulikanalo kama Jesuits.
Jesuit Fathers ni mapadri wa katoliki wa daraja la juu sana wenye elimu ya juu zaidi ambao hufanya kazi za siri za utawala na udhibiti ndani ya kanisa katoliki.
4.Kuhusu imani yao (freemasons) nikaelezwa kwa kifupi kuwa wanaamini Yesu na Lucifer ni mtu na ndugu yake. wanaamini kuwa Lucifer ndiye mwema na mzuri lakini wanaamini kuwa Yesu ndiye mwenye mbaya alimfanyia hila Lucifer aonekane mbaya.

4.Kinachoendelea ndani yake kuhusiana na ibada zake ni siri kwani kuna daraja ambazo muumini wa freemason anapanda kutokana na kubobea katika imani ikiwa ni pamoja na kutunza siri zao. Ninajua kuwa daraja ya juu kabisa ni nyuzi ya 33 (33rd degree)
5. Kwa hiyo ijapokuwa wanatumia biblia wanapoongelea “Bwana” huwa hawamaanishi Yesu bali huwa wanamaanisha Lucifer ambaye ndiye wanayemwabudu.
6. Ni watu wenye nguvu mno na mambo yao ni makubwa mno na siri zao ni nzito mno. Ndiyo maana haziko wazi. Wafuasi wa kiwango cha chini wala hawajui shirika hili linahusika na nini manake hata wao hawaambiwi kitu. Kwa wafuasi wa daraja ya chini wanakwenda ku socialize tu. Yaani kwa wasio jua kitu kule kwenye lodge zao ni kama ywca au wmca au club hivi. Kwenye nchi kama marekani watu wasio jua siri wanachukulia kama sehemu za kusocialize tu.
7. Freemasonry inawekwa pamoja na makundi mengine makubwa ya siri, yanayoendesha ulimwengu mzima kwa nguvu za kiuchumi, siasa na mambo ya utawala.
Wanacho kitabu chao cha kufundishia wanaojiunga kiitwacho “Morals and Dogma” mwenye kuweza kusoma kizungu chake aangalie kwenye mtandao.

Feb 3, 2012

VICHOCHEZI KATIKA MAPENZI

1. Mshike kiuno chake
2. Ongea naee
3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu
4. Mpe jaketi lako au mkoti wako wakati upo nae
5. Mpige kiss taratibuuu
6. Mvute taratibu, mkumbatie,mweke kifuani na cheka naee
7. Mkaribishe au mwalike sehemu ambayo we utakuwepo
8. Mkaribishe sehemu ambayo utakuwepo na marafiki wako pamoja
9. Cheka nae, piga picha na yeye pamoja
10. Mpige kiss kwenye lips zake
Pia mnunulie vitu vidogo vidogo ambayo pia vinamaana kubwa sana,kama maua
11. Mnunulie vitu na wala usimwambie yeye ndo akununulie vitu
12. Usimdanganye kwa kitu chochote
13. Mpeleke sehemu ambayo yeye anapenda
14. Mjulie hali kwa kumtumia message za asubuhi na umtakie asubuhi njema na umwambie jinsi gani unavyomkumbuka
15. Kuwa mahali ambapo anakuitaji. Na pia kuwa hata kama hakuitaji. Hivyo atakuwa anakuwaza
16. Mkumbatie wakati wa baridi na yeye atakushika pia
17. Kama mpo pembeni mkumbatie na mbusu
18. Kama mnaangalia televishen au movie mkumbatie karibu na wewe na mweke kifuani mwako.
19. Mnapokuwa pamoja usimwambie aondoke hata kama ni kwa matani na usije ukajifanya unahasira
20. Unapokuwa unatembea nae mshike mkono
21. Unapokuwa nae katika bustani weka kichwa chake kwenye kifua chako na pia mkumbatie kwa mda mrefu iwezekanavyo.
22. Mpigie simu au mtumie message za kumtakia usiku mwema
23. Mbembeleze anapokuwa analia na mfute machozi.
24. Tembea nae kwa mda mrefu wakati wa usiku
25. Kila mara mkumbushe jinsi gani unavyompenda

SOME GOSSIP NEWS IN FOOTBALL TODAY

-New Everton signing Nikica Jelavic is relishing the challenge of delivering goals for the Merseyside club in the season's run home.

-Man City ready to battle Chelsea FC in race to sign Eden Hazard
Manchester City have admitted they are keen on signing Eden Hazard this summer.

-Chelsea FC made EUR40m bid for Gonzalo Higuain - report
Chelsea failed with a €40million bid for Real Madrid striker Gonzalo Higuain earlier this week.
Blues boss Andre Villas-Boas was keen on luring Higuain to Stamford Bridge before the January transfer window closed, only for Los Blancos coach Jose Mourinho to stop a move from going through.
Chelsea will again look to sign the 24-year-old when the transfer window reopens at the end of the season.

-Agent admits likely Napoli exit for Chelsea, Man City target Hamsik

-Santos president prepared to sell Man Utd, Chelsea target Ganso

-EXCLUSIVE : Real Madrid plot swoop for City striker Aguero by selling Higuain to Chelsea.
Real Madrid want to fund a multi-million pound bid for Sergio Aguero by selling Gonzalo Higuain to Chelsea this summer.
President Florentino Perez is desperate to sign the Manchester City striker and is willing to part with whatever money it takes to lure the Argentine to the Bernabeu.
To fund the ambitious offer, which City would be very reluctant to accept, Real want Higuain to move to Stamford Bridge.

-Chelsea manager Andre Villas-Boas admits his comparative inexperience and young age mean he cannot run a club as a dictatorship.

-Tottenham striker Roman Pavlyuchenko is expected to complete his move to Lokomotiv Moscow on Friday.

-Manchester United manager Sir Alex Ferguson is confident both Wayne Rooney and Nani will be fit for Sunday's Premier League encounter against Chelsea.

-Drogba open to Chelsea future

-Liverpool FC and Man Utd target Keisuke Honda sets sights on summer move
CSKA Moscow midfielder Keisuke Honda, who has been linked with Arsenal, Liverpool and Manchester United, insists he is "back to normal" after seeing a move to Lazio fall through.

-Real Madrid CF keen on Rafael Benitez as Jose Mourinho replacement - report

-UOL claims Santos tried to sign Willian in a loan deal, but they say Willian already agreed to join CFC in July.
Santos president: "We gave up a proposal because they (Shakhtar) received from Chelsea. It was an offer of tens of millions of euros. It seems that he should go there in the middle of the year. We tried on loan until the end of the year, but did not work"

-Jose Mourinho: I’ll manage Chelsea. The Special One is quitting Spanish giants Real Madrid in the summer to come back to England !

-Liverpool FC sign 'new Deco' Joao Carlos Teixeira
Liverpool have confirmed the signing of Sporting Lisbon teenager Joao Carlos Teixeira.

-Ryan Nelsen is expected to be named in the Tottenham squad for Tuesday's match against Liverpool at Anfield after his free transfer from Blackburn Rovers was completed overnight.

-Martin Jol believes striker Andrew Johnson will pen down a new deal and expects him to be able to replace Zamora

-Mikel Arteta admits Arsenal faces an uphill challenge to qualify for the Champions League but says he and his teamates are good enough to aim a top-four finish. -

-Official: Tottenham have completed the signing of defender Ryan Nelsen, after a delay in his move from Blackburn Rovers --- Free Transfer

-Manchester United boss Sir Alex Ferguson believes he can still retain young midfielder Paul Pogba, despite reports that the 18 year old wants to leave Old Trafford, Manchester Evening News reports. Pogba made his Premier League debut against Stoke on Tuesday in a 2-0 win for the Premier League champions.

-Andre-Pierre Gignac says he turned down the chance to join Everton in January because the club is not big enough.

-Luis Suarez has emerged as a surprise transfer target for Juventus.

-de Bruyne targeting success at Chelsea
Kevin de Bruyne is hoping to experience as much success as possible with Chelsea.

-FC Barcelona confirm interest in Liverpool FC target Carlos Tevez

-Luis Suarez finally returns from lengthy suspension.

-Carlos Tevez feels his situation at Man City is now "almost comical" and cannot understand why he has been portrayed so negatively.

DK HOSEA ATUA AU

Dk Hosea aula AU, sasa kuzuia rushwa Afrika
UMOJA wa Afrika (AU) umemteua Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk Edward Hosea kuongoza Secretarieti ya Bodi ya Kuzuia Rushwa Barani Afrika.AU pia imeteua makao makuu ya Sekreterieti hiyo kuwa mjini Arusha, ambapo shughuli zake zote zitaratibiwa.

Akizungumzia kuhusu uteuzi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema ulifanywa na AU katika mkutano wake uliomalizika hivi karibuni mjini Addis Abba, Ethiopia.

Alipoulizwa mambo yaliyoifanya Dk Hossea  na Tanzania kupata heshima hiyo wakati ambapo Taifa limekuwa likikabiliwa na misuguano ya rushwa, Membe alisema:

“Uhuru huo wa kuruhusu mijadala ya rushwa nchini ndiyo yanayoijengea heshima Tanzania. Hii inaonyesha uwazi wa mapambano dhidi ya rushwa.”Alisema kwamba rushwa ipo sehemu nyingi duniani lakini ni nchi chache zinazotoa uhuru wa wa kuzungumza mambo hayo hadharani kama ilivyo Tanzania.

“Vyombo vya habari vimekuwa huru... Kuwepo kwa mijadala, misuguano, kunatoa fursa ya kuweka sera na mipango ya kukabiliana na rushwa,” alisema Membe.

Katika hatua nyingine Membe alisema kwamba AU imeshindwa kumchagua Katibu Mkuu wa Umoja huo baada ya aliyekuwa anatetea nafasi hiyo, Jean Ping wa Gabon kukataliwa kwa kura.

Membe alisema uchaguzi huo sasa utafanyika Julai mwaka huu mjini Lilongwe, Malawi na kuna uwezekano mkubwa wa katibu mpya kutoka katika nchi za Kusini mwa Afrika.Wakati huo huo, Membe alisema kwamba AU imekasirishwa na kitendo cha Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuwaandama viongozi wa Afrika peke yao, huku wakiwaaacha wa mabara mengine.Kutokana na hali hiyo wametaka ICC ifanyiwe marekebisho ili iweze kuendesha shughuli zake kwa haki duniani. 

MAHAFALI YAGEUKA KUWA KILIO TANGA

Mahafali ya Shule ya wasichana ya Korogwe Sekondari mkoani Tanga yamegeuka kilio baada ya wanafunzi saba kugongwa na mwenzao aliyekuwa na gari .Wakimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi.ni mahafali ya kidato cha sita.

sir alex press conference

Here are the main points from Sir Alex's press conference:
"We're a bit better in terms of injuries. I hope Rooney, Nani, Cleverley and Young will all be in the squad. Rooney and Nani have trained for the last two days. It's more likely Tom will play against Chelsea reserves on Monday but he'll travel [on Sunday]. It's not an easy game going to the Bridge. We haven't beaten them there [in the league] since 2002. We're hopeful our form will stand up as it did at Arsenal and even last week [at Anfield] when we put on a good performance and didn't deserve to lose. It was a crazy game [against Chelsea] at Old Trafford earlier in the season - it could have been 20-18! I don't think it will be like that on Sunday. De Gea should be fit. It looks like Lindegaard will be out for at least four weeks, maybe even five or six. It's ankle ligaments. Ben Amos has been looking for his opportunity for quite a while and we wondered about sending him out of loan. But it's not easy when you're in Europe - you need three keepers. He did very well the other night. We have Tomasz Kuszczak as well but his contract is up in the summer and he doesn't want to sign another."

<zee17>