Jun 30, 2012

VIDEO YA LEO:Hakuna Jipya Chini Ya Jua - Masanja Mkandamizaji

PICHA:LIL WAYNE NA MPENZI WAKE WARUDIANA






Wiki kadhaa zilizopita Lil Wayne alimwacha mpenzi wake aitwaye Dhea baada ya kugundua kuwa mrembo huyo amepiga picha zenye utata kwenye jarida moja maarufu nchini Marekani.
Na sasa wamerudiana tena. Imedaiwa kuwa binti yake Lil Wayne REGINAE ndiye aliyewapatanisha. Inasemekana kuwa Reginae na Dhea walikuja kuwa karibu sana wakati alipokuwa akidate na Weezy.
Na baada ya kuachana Regina alimwambia baba yake kuwa alikuwa anafanya kosa kubwa na jinsi Dhea anavyompenda Lil Wayne.
Lil Wayne amesikiliza ushauri wa binti yake na sasa wamerudiana wakiwa na mipango ya kuoana mbeleni.
 habari hii ni kwa msaada wa BONGO5

WASANII WA BONGO MOVIES WATOA MSAADA WA VYANDARUA-HOSPITAL YA BOMBO


Mwenyekiti wa Wasanii wa Bongo Movie,Jacob Steven "JB" akikabidhi msaada wa vyandarua kwa Muuguzi Msaididi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga,pia Mwalishi wa Hospitali hiyo,Bi. Halima Msengi (kushoto) wakati wasanii hao walipotembelea hospitali hiyo na kujioneea hali halisi ya uhaba wa vyandarua katika baadhi ya wodi.Msaada huo umekabidhiwwa hospitalini hapo mapema leo asubuhi kwa hishani ya kampuni ya Bia Tanzania Kupitia kinywaji Chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.

Wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na Mwenyekiti wao Jacob Steven "JB" wakiwa kwenye picha ya pamoja na Muuguzi Msaididi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga.Wasanii hawa wametembelea Hospitali ya Bombo mapela leo asubuhi kwa ajili ya kukabidhi msaada wa Vyandarua katika hospitali hiyo,ikiwa ni sehemu ya kupiga vita ugonjwa wa Malaria unaopoteza maisha ya watanzania wengi katika maeneo mbali mbali ya nchini.Msaada huo umekabidhiwwa hospitalini hapo kwa hishani ya kampuni ya Bia Tanzania Kupitia kinywaji Chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa wamezunguka kitanda cha Mmoja wa Mama aliejifungua watoto Mapacha katika Wodi ya Wazazi wa Hospitali ya Bombo Jijini Tanga mapema leo asubuhi wakati walipofika kutoa Msaada wa Vyandarua kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Kinywaji chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.

Msanii wa Bongo Movie,Mayassa Mrisho akikabidhi Chandarua kwa Mama aliejifungua watoto mapacha kwenye hospitali ya Bombo,Tanga mapema leo asubuhi. 
PICHA NA TUKIO ZIMA NI KWA UTAYARISHAJI WA OTHMANI MICHUZI

PICHA TATU ZA WEMA SEPETU AMBAZO ZIMEKUWA GUMZO,& WEUPE UNGEKUWA DILI UBUYU USINGEPAKWA RANGI



 katika pita pita zangu mitandaoni ,mara nikakutana na ujumbe huu ukimuonesha msanii wa bongo movies na ex-girlfriend wa Msanii Diamond platinum, WEMA SEPETU jinsi alivyojichubua kuliko hata wenzetu wazungu. msanii huyu asiyechokwa na media ameendelea kuwa gumzo kila kukicha, hii inashiria nini UNAPENDWA ZAID au UNACHUKIWA ZAIDI NA MASHABIKI WAKO?
Kwa upande wangu mi sina la kusema zaid ya neno au ujumbe kwa mwanadada WEMA ajaribu kuangalia mambo anayoyafanya kwa umakini zaidi
 HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOENEA MITANDAONI (facebook,website n.k)
  
Zama za WEMA na DIAMOND

HALI YA DK ULIMBOKA NI MBAYA ,$40000 ZAITAJIKA KUMPELEKA INDIA



 ASEMA FIGO ZAKE ZIMESHINDWA KAZI, ZATAKIWA DOLA 40,000 KUMPELEKA INDIA
AFYA ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka imebadilika na kuwa mbaya, baada ya figo zake kushindwa kufanya kazi ya kuchuja sumu ya mwili na kusababisha apatiwe huduma ya kusafisha damu yake.

Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na kiongozi wa jopo la madaktari wanaoendelea kumtibu, Profesa Joseph Kahamba, zilieleza kuwa hali ya Dk Ulimboka ilibadilika na kuwa mbaya na hivyo kuwapo mikakati wa madaktari wenzake kukusanya fedha ili kumpeleka nje ya nchi.

Dk Ulimboka ambaye amelazwa katika Kitengo cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalumu (ICU) katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alipatiwa huduma hiyo jana asubuhi kwa kutumia mashine maalumu, iliyoko katika Kitengo cha Watoto cha Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH).
 Dk ulimboka akiwa ICU-muhimbili

Daktari huyo ambaye alikuwa anaratibu mgomo wa madaktari unaoendelea nchi nzima kutokana na Serikali kushindwa kutimiza madai yao mbalimbali, amelazwa kutokana na majereha aliyoyapata katika sehemu mbalimbali za mwili, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana, kisha kupigwa, kung'olewa kucha, meno mawili na kutupwa katika Msitu wa Pande, usiku wa kuamkia Jumatano.
 
Tangu alazwe MOI baada ya kuokotwa na wasamalia wema, katika Msitu wa Pande uliopo nje kidogo ya Jiji la Dares Salaam, hali ya afya ya Dk Ulimboka imekuwa tete na jana ilizidi kuwa mbaya.

Jun 29, 2012

15 FIFTEEN BIG CELEBRITY SPLITS(WALIOACHANA DUNIA) IN 2012,LOVE IS OFFICIALLY DEAD

            Mwaka 2012  umekuwa si mwaka mzuri kwa ma celebrity wa nje na hata kibongo bongo  pia katika suala zima la mapenzi na kuachwa na wapenzi wao kwa namna moja au nyingine.kwa hali hii tunaweza kusema mapenzi hayana fundi waliopo wanataka kutoka na waliopo nje ya mapenzi wanataman kuingia kujionea ni kipi kinaendelea ndan ya tasnia hii ya mapenzi .
Wafuatao ni baadhi ya celebrity walioachwa/waliochana
   wakwanza ni JOHNNY DEPP NA VANESSA PARADIS, kwa upande wa wasanii wa HOLLYWOOD

Johnny Depp and Vanessa Paradis





Johnny Depp arriving with his girlfriend Vanessa Paradis for the 80th Academy Awards in Los Angeles in 2009
Johnny Depp arriving with his girlfriend Vanessa Paradis for the 80th Academy Awards in Los Angeles in 2009
 vile vile usisahau MYLEENE KLASS NA GRAHAM QUINN

Myleene Klass and Graham Quinn





Myleene Klass and Graham Quinn
We don't know what went on behind closed doors, but we do know Graham won't do any better than this
   
penzi lingine ni hili la msanii DIAMOND PLATINUM na WEMA SEPETU
Diamond Platinum na Wema 
even now am still believed that this was fake love, love which 99% was based on media such newspaper a.ka udaku.Also this love is offically Dead
 
Mapenzi moto moto ya wawili hawa nalo pia lilikuwa ni gumzo juu ya gumzo ni RONAN and YVONNE KEATING
Ronan and Yvonne Keating
Ronan Keating and his wife Yvonne arriving for the Emeralds and Ivy Ball
Ronan Keating and his wife Yvonne arriving for the Emeralds and Ivy Ball this was 14 year relationship ,wife with three children
penzi la mtu wakonge wawili waliodumu kwenye ndoa takriban miaka sita ,ni SEAL na HEIDI KLUM 
Seal and Heidi Klum




Heidi Klum, (L) and Seal arrive at the 53rd annual Grammy Awards in Los Angeles
Heidi and Seal in happier days
   They met in 2004 when Heidi was pregnant with her daughter Leni, now seven, with Flavio Briatore. Seal later adopted Leni and they married in 2005. They have three other children together, Henry, 6, Johan, 5, and Lou, 2.
 Hawa si wakuwasau kwani hususan kwa wapenzi wa vipindi vya X-factor wanakuwa si wageni sana ,ni DANNI MINOGUE na KRIS SMITH 
Dannii Minogue and Kris Smith




Dannii Minogue and Kris Smith
Dannii Minogue and Kris Smith
  The former X Factor judge split with the father of her son, Ethan, in April. Like Ronan and Yvonne, they also confirmed the split via Twitter (which is massively modern of them) with Dannii writing, "It brings me great sadness to tell you that Kris and I have separated. We still care for each other and ask for privacy at this difficult time, in particular for our son Ethan who remains our number one priority."
Penzi la mtu mzima na dogo dogo stars ,ni HARRY STYLES and CAROLINE PLACK

Harry Styles and Caroline Flack






We might have made this picture ourselves
The main thing that got everyone in a twist about this relationship though was the age difference.
Harry Styles was 17 when he and Caz (yeah, we're on Caz-named terms) got together, while she was, um, 32. Yeah, so he couldn't even buy her a drink, which was a bit awkward. But he could look hot while sheepishly sloping out of her front door in the morning, so who cares? Lots of people? Oh.
 ukizungumzia mapenzi ya wasanii wa kibongo vile vile uwezi kuwasahau wasanii AMINI na LINNAH
    Amin na Linnah



 was love with more joys and funny among themselves but the table turn up side down ,where by Linnah give divorce to amini and love relatioship ended there.

 penzi lingine ni la walimbwende hawa ambapo penzi laolilidumu kwa takriban miezi kabla alijapotea miongoni wao,ni MOLLIE KING na DAVID GANDY

Mollie King and David Gandy






David Gandy and Mollie King
Mollie's getting off with Prince Harry anyway, so do one, yeah?
The prettiest couple ever (or at least since Brad and Ange) split up in February after nine months together. Ah, look at how good looking they are and admire their shiny teeth! We were gutted. But then David went and said some stuff to Men's Health about their break up that made us love him a little bit less

Simon Cowell  

and Mezghan Hussainy

This relationship actually seemed to fizzle and die last year after they weren't pictured with each other or near each other for yonks - but it was only confirmed in February.

Simon, 52, later admitted that he'd given the 39-year-old make-up artists a £5million house after calling off their engagement "because she deserved it". Nice.

 






 Simon Cowell, Mezghan Hussainy,
Simon Cowell, Mezghan Hussainy,
 Yeah, so this was weird.
They met in 2002, but only got together officially in 2009. There were lots of reports of blazing rows and his mum was rumoured to not be Mezghan's number 1 fan.
Simon's biographer wrote about their relationship in his book The Intimate Life of Simon Cowell and concluded that she failed to understand the stresses in Simon's life and that he was a rubbish boyfriend.
But hey, at least she got a £5m house, right? RIGHT?

Tulisa and Fazer






Tulisa Contostavlos is seen on holiday with boyfriend and N-Dubz band mate Fazer (Pic:Splash)
Tulisa Contostavlos is seen on holiday with boyfriend and N-Dubz band mate Fazer (Pic:Splash)
 Tulisa and her N-Dubz bandmate Fazer were together secretly for yonks, before splitting in January of this year.  
They were together for 18 months, but had known each other since they were 11 so it was a pretty heartbreaking business - but they're still on speaking terms and Fazer even produced a couple of tracks on her last album.

Lydia Bright and James 'Arg' Argent






TOWIE's Lydia Bright walks away from James Argent after banging into him in the street
We can see you looking at her bum Arg
The TOWIE co-stars had been together on-and-off for four years before finally calling time on their tempestuous relationship in January.
   Between James and Lydia and Mark Wright and Lauren Goodger, every single relationship scenario ever has been played out live on our telly screens. We were always quietly rooting for these two though as they seemed so genuinely smitten with each other.
Also this relationship between JLO and MARC ANTHONY ,have been common talk by different people why this love ended  in miserable  way .
  Jennifer Lopez and Marc Anthony

 



















Lydia's now happily loved-up with HOT new bloke Tom Kilby and Arg is maybe/maybe not having some naked hugs with co-star Gemma Collins so all's well that ends well
 TOM CRUISE and KATIE HOLMES are getting divorced yesterday
Tom cruise and Katie holmes

Their big day: Tom and Katie on their wedding day
When they met, Tom Cruise was a Hollywood megastar - Top Gun, Last Samurai and Mission:Impossible.
   Katie Holmes was the pretty, sweet one from cult US show Dawson's Creek who was starting to make progress in films, notably opposite Christian Bale in Batman Begins.
There was a 16-year age gap - but when Tom leapt around on Oprah Winfrey's sofa excitedly declaring his love in 2005 in the early days of their relationship he seemed like a teenager.
He proposed at the top of the Eiffel Tower on a trip to Paris just a month later.
They married in Bracciano, Italy, on 18 November 2006 - and daughter Suri arrived the following April.

what about this???? THE ONE DIVANESS LOVE and MO RACKA
Send your comment 
 

KIM KARDASHIAN COOKS KANYE WEST SOUL FOOD


Kim Kardashian Cooks Kanye West Soul Food
Kim Kardashian and beau Kanye West head into Children’s Hospital Los Angeles on Friday (June 29) in L.A.
The day before, the 31-year-old reality star stepped out in another all-white outfit while running some errands with the 35-year-old rapper in Santa Monica.
      “Cooking some soul food for my baby!” Kim recently tweeted.
“Luxury chef…the Hermes of soul food,” she wrote in another tweet with a pic of a plate filled with cornbread, macaroni and cheese, greens, and fried chicken.
10+ pictures inside of Kim Kardashian and Kanye West out in L.A. and Santa Monica…
kim kardashian kanye west hospital 02kim kardashian kanye west hospital 11
kim kardashian kanye west hospital 05kim kardashian kanye west hospital 03


MWIGIZAJI NYOTA WA NIGERIA OMOTOLA JALADE AONDOKA TANZANIA


Mwigizaji Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi na za khanga, shanga na viatu Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria jana usiku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch Solutions, Petter Mwendapole ambao waliratibu ziara ya msanii huyo. Mwingine wa msanii Snura.
Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi

Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya hajandoka nchini kuelekea Nigeria.              

YALIYOJIRI FACEBOOK FUNS WA MWENDAPOLEB.BLOG

Fans in South Africa will be the first to see new Manchester United signings Shinji Kagawa and Nick Powell in action.Sir Alex Ferguson has revealed both men will play a major role in the Reds’ 2012 DHL pre-season tour, which begins in Durban on 18 July with a match against AmaZulu FC. United have also confirmed games in Cape Town (also South Africa), Shanghai (China), Oslo (Norway) and Gothenburg (Sweden).

 

  1. woooou i like zs
    like father like child..
    · 
    · Rolland Fantastic Captain jembe la azam
    Nawatakia weekend njema, mimi siko poa sana nasumbuliwa na Malaria so weekend hii nautuliza mwili kwanza hadi nikiwa sawa ndugu zangu tutaliendeleza bata kama kawa. ONE
     
    Unene huoooo

    Lameck Ditto added 3 new photos.
    #Lina#tz#safarini# 
    ‎" Usiutamani uzuri wake moyoni mwako, wala usikubali akunase kwa kope za macho yake". Habarini za jioni ndugu zangu, ninaimani mmeshinda salama wote. Nawatakieni usiku mwema wote na Mungu aweze kuwabariki wote.
     
    1. Kwetu pazuri ndio nafika
      #thanx jesus — at Sinza Star.

      Sinza Star
      Local Business



      HAHAHAHAH
      maswali mengne banah?

      Haya magonjwa sometime yanatisha
      www.jamiiforums.com
      Aina mpya ya vimelea vya ugonjwa wa kisonono au "gono" ambavyo vinahimili dawa (resistant to drugs) zinazotumika kutibu ugojwa huu imegundulika duniani. Taarifa
      ·