Jan 3, 2012

mwanamuziki atangaza urais

mwanamuziki mkongwe na mashuhuri wa nchini senegal YOUSSOU N'DOUR atangaza nia ya kugombea urais  dhidi ya kiongoz wa sasa ABDOULAYE WADE ambao unatazamiwa kufanyika mwezi februari nchini humo.
Youssou N'dour  amehusika na mambo wakza wakaza ikiwemo la maswala ya kibidamu na pia ni balozi wa shirika la umoja wa mataifa kuhusiana na mawswala ya watoto.(UNICEF)





No comments:

Post a Comment