Jan 3, 2012

AJALI YATOKEA MKOANI MOROGORO

Ajali imetokea leo jion maeneo ya morogoro iliyohusisha basi la Abiria la 'TRAVEL COACH' walilokuwa wanasafiria  kupinduka , basi hilo ambalo lilikuwa likitoka  mkoani Dar es salaam na kwenda mkoani Tanga.
Basi hilo limepinduka eneo la DOMA,  wilaya ya mvomero ,Barabara  kuu ya morogoro-Iringa muda wa sa 10 jioni. ambapo mpaka sasa inaripotiwa ni watu wawili kufariki dunian huku wengine 30 wamepatwa na majeraha hali iliyowalazimu kupelekwa hospitali  ya RUFAA ya mkoani morogoro.

kamanda wa polisi wa mkoa wa morogoro , ADOLFINA CHIALO,amethibitsha kutokea kwa jari hiyo amabayo chanzo ni lori lilokuwa likiitaj nafasi ya kulipita gari lingine kukutana uso kwa uso na basi hali iliyopelekea dereva wa basi kupeleka pembezoni mwa barabara hata hivyo gari lilimzid na kupelekea kupinduka .

No comments:

Post a Comment