Jan 10, 2012

Diamond akieleze ni kwanini Hapendi Interviews


msanii wa kizazi kimya DIAMOMD amewekeza wazi ni kwanini hapendi sana kufanya interview pindi anapo alikwa, msanii huyo ameonge leo hii kupitia kituo kimoja cha television cha jijini dar es salaam ambapo alitumia wasaa huo kuli review album yake mpya.
DIAMOND amekuwa akihusishwa na kesi amabyao inamwandma ya kumpiga mwandishi wa habari wakati wa interview hivi siku za karibuni.
pia ameelezea ni nyimbo gani ambayo anaipenda kwenye album yake hiyo mpya.

No comments:

Post a Comment