Jul 7, 2012

ZIFAHAMU ATHARI ZA KUPIGA PUNYETO

                                   ATHARI za PUNYETO
       Wanaume waliowengi hukidhi haja zao kwa kutuliza matamanio yao kwa njia ya kujichua/ kupiga punyeto bila kufahamu madhara yake: Nikweli punyeto inasaidia kupunguza hamu ya tendo na ni njia nzuri ya kujiepusha na zinaa kwa kujilinda na maradhi ila kiukweli ina madhara na madhara yake mara nyingi hutokea kwa mtu anaependelea sana kupiga punyeto, kutokana na utafiti uliofanywa kisayansi imeonekana punyeto ni nzuri kiafya ila endapo kama utakuwa unapiga mara moja moja na sio kila siku.       Licha ya tafsiri ya punyeto kuwalenga wanaume zaidi lakini katika mada yangu ya pili nitaelezea Usagaji na madhara yake kwani hili linahusu wanawake na hili la usagaji linaingizwa na punyeto kwani madhara yake yanakaribiana lakini tofauti inakuja jinsi ya kujirizisha. Napenda kuwashauri watu wanaopiga punyeto wawe makini na wasiendekeze jambo hili kwani madhara yake ni makubwa sana na Athari zake kubwa ni hizi zifuatazo   
                    1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inaregea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama 
 umeregea
.Dir

        2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mpenzi wake na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mpenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kusex.
 3.KUTOJITOSHELEZA MPAKA UVUTE HISIA ZA MREMBO
Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili  na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.
 4.KUUMWA SANA KICHWA,MGONGO NA KUPOTEZA NGUVU

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho,  madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku  ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.
 Hii yote madhara ya hapa duniani lakini kwa Allah ni mwisho wa hisabu kwani ''Amelaaniwa mtumiaji mkono kwa kujisugua uume
wake(Punyeto)
Mpendwa wa safu hii hizo ni athari kuu 4 tu, ingawa ziko nyingi ila hizi nilizozitaja ni kwa uchache na ndio zinazo wakumba wanaume walio wengi. Ushauri wangu mimi kama wewe unapiga punyeto basi jitahidi usiwe unapiga kila siku atlist kwa wiki mbili mara moja endapo kama utajisikia hamu ya kusex kama huna mpenzi au ukishindwa acha kabisa.
 

No comments:

Post a Comment