Jun 30, 2012

PICHA TATU ZA WEMA SEPETU AMBAZO ZIMEKUWA GUMZO,& WEUPE UNGEKUWA DILI UBUYU USINGEPAKWA RANGI



 katika pita pita zangu mitandaoni ,mara nikakutana na ujumbe huu ukimuonesha msanii wa bongo movies na ex-girlfriend wa Msanii Diamond platinum, WEMA SEPETU jinsi alivyojichubua kuliko hata wenzetu wazungu. msanii huyu asiyechokwa na media ameendelea kuwa gumzo kila kukicha, hii inashiria nini UNAPENDWA ZAID au UNACHUKIWA ZAIDI NA MASHABIKI WAKO?
Kwa upande wangu mi sina la kusema zaid ya neno au ujumbe kwa mwanadada WEMA ajaribu kuangalia mambo anayoyafanya kwa umakini zaidi
 HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOENEA MITANDAONI (facebook,website n.k)
  
Zama za WEMA na DIAMOND

No comments:

Post a Comment