Jan 5, 2012

Dully Sykes - Biberon.


video mpya ya dully slykes hii hapa
ukiangalia ni bonge la ngoma ambalo dully anawadhibitishia mashabiki wake kuwa ye gemu analiweza na bado yupo kwenye form nzuri toka enzi zile za kina julieta ,sarome mpaka sasa.
ki ukwel dully mwaka jana ulikuwa ni mwaka mzuri sana kwa wake hasa baada ya kuanchia ngoma ya shikidei na nyingnezo nyingi ila mwaka 2012 ameamua kurudi kivingine na amefanikiwa kuwateka mashabiki wengi wa mziki wa bongo fleva hapa Tanzania, hongera sana dully kwa kazi yako nzuri ya kuendeleza mziki wa kizazi kimya TANZANIA

No comments:

Post a Comment