Jan 10, 2012

maneno ya mdau wa soka dakika chahce zilizopita

Hii ndio 2012...Aliingia Yanga Africa akala kichapo akatulia akarudi mjini hapa kimya kimya,tukaingia Simba Sports tukala dose yetu tumetulia..sijui mwenzangu umejifunza nini kutokana na vichapo visivyo na utata vilivyotembezwa na AZAM FC....
· · · 23 minutes ago near Dar es Salaam ·

  • Severin John and 10 others like this.

    • Antony William LINAITWA KOMBE LA MAPINDUZI SO AZAM WAMEKAMILISHA USEMI KWA KUFANYA MAPINDUZI KWELI BUT MMEMUONA THIEN HENRY IS BACK
      3 minutes ago ·
    • Bob Ramso Ni kweli wamejipanga ila isiishie kwa Simba na Yanga maana hizi timu za kibongo zinapocheza na Simba na Yanga huwa zinakuwa Kali sana baada ya hapo wakikutana wenyewe kwa wenyewe hakuna kinachofanyika ila kwa hatua waliofikiwa wapo vizuri sana,Nafikiri Simba na Yanga wameona wanachokifanya wenzao bila shaka muda wa kubadilika ndio huu
      about a minute ago ·
    • Ocemound Dyegura A soka ni hela mkuu, matajr wa jiji hao
      A few seconds ago ·

No comments:

Post a Comment