Jan 19, 2012

mapenzi

Nijuzeni,ipi njia sahihi ya uzazi wa mpango?





Habari mdada na naomba nieleweshwe njia gani nzuri yakutumia kwa ajili ya uzazi wa mpango maana watu wananichanganya kwa mengi wengine wanasema ukiweka vijiti mara nyengine huwa vinatembea mwilini, ukinywa vidonge ukikosea siku moja basi unaweza kubeba mimba wengine wanasema eti sindano hunenepesha na kufanya mtu utokwe na damu nyingi sana.
naombeni ushauri wenu ni njia gani nzuri ama kunanjia nyengine ukiacha hizo.

No comments:

Post a Comment