Feb 3, 2012

VICHOCHEZI KATIKA MAPENZI

1. Mshike kiuno chake
2. Ongea naee
3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu
4. Mpe jaketi lako au mkoti wako wakati upo nae
5. Mpige kiss taratibuuu
6. Mvute taratibu, mkumbatie,mweke kifuani na cheka naee
7. Mkaribishe au mwalike sehemu ambayo we utakuwepo
8. Mkaribishe sehemu ambayo utakuwepo na marafiki wako pamoja
9. Cheka nae, piga picha na yeye pamoja
10. Mpige kiss kwenye lips zake
Pia mnunulie vitu vidogo vidogo ambayo pia vinamaana kubwa sana,kama maua
11. Mnunulie vitu na wala usimwambie yeye ndo akununulie vitu
12. Usimdanganye kwa kitu chochote
13. Mpeleke sehemu ambayo yeye anapenda
14. Mjulie hali kwa kumtumia message za asubuhi na umtakie asubuhi njema na umwambie jinsi gani unavyomkumbuka
15. Kuwa mahali ambapo anakuitaji. Na pia kuwa hata kama hakuitaji. Hivyo atakuwa anakuwaza
16. Mkumbatie wakati wa baridi na yeye atakushika pia
17. Kama mpo pembeni mkumbatie na mbusu
18. Kama mnaangalia televishen au movie mkumbatie karibu na wewe na mweke kifuani mwako.
19. Mnapokuwa pamoja usimwambie aondoke hata kama ni kwa matani na usije ukajifanya unahasira
20. Unapokuwa unatembea nae mshike mkono
21. Unapokuwa nae katika bustani weka kichwa chake kwenye kifua chako na pia mkumbatie kwa mda mrefu iwezekanavyo.
22. Mpigie simu au mtumie message za kumtakia usiku mwema
23. Mbembeleze anapokuwa analia na mfute machozi.
24. Tembea nae kwa mda mrefu wakati wa usiku
25. Kila mara mkumbushe jinsi gani unavyompenda

No comments:

Post a Comment