Jun 29, 2012

MWIGIZAJI NYOTA WA NIGERIA OMOTOLA JALADE AONDOKA TANZANIA


Mwigizaji Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi na za khanga, shanga na viatu Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria jana usiku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch Solutions, Petter Mwendapole ambao waliratibu ziara ya msanii huyo. Mwingine wa msanii Snura.
Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi

Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya hajandoka nchini kuelekea Nigeria.              

No comments:

Post a Comment