Jun 30, 2012

PICHA:LIL WAYNE NA MPENZI WAKE WARUDIANA






Wiki kadhaa zilizopita Lil Wayne alimwacha mpenzi wake aitwaye Dhea baada ya kugundua kuwa mrembo huyo amepiga picha zenye utata kwenye jarida moja maarufu nchini Marekani.
Na sasa wamerudiana tena. Imedaiwa kuwa binti yake Lil Wayne REGINAE ndiye aliyewapatanisha. Inasemekana kuwa Reginae na Dhea walikuja kuwa karibu sana wakati alipokuwa akidate na Weezy.
Na baada ya kuachana Regina alimwambia baba yake kuwa alikuwa anafanya kosa kubwa na jinsi Dhea anavyompenda Lil Wayne.
Lil Wayne amesikiliza ushauri wa binti yake na sasa wamerudiana wakiwa na mipango ya kuoana mbeleni.
 habari hii ni kwa msaada wa BONGO5

No comments:

Post a Comment