Aug 20, 2012

RAPA WA KIKE KUTOKA UGANDA, KEKO AMEKUWA CHIZI?



Mitandao yakijamii ilikuaimejaa habari za rapa wa kike kutoka Uganda zikisema kwa amekuwa chizi baada ya kuonekana akimkimbiza kibaka wa laptop. Star huyo aliendelea kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter jinsi gani Uganda imekuwa si sehem salama kwake na kuna watu wanahatarisha maisha yake.
watu ambao walitaka kufahamu zaidi kuhusu stori hiyo, walijaribu kumpigia simu, lakini matokeo yake ilipokelewa na dereva wa boda boda na hata alichokiongea kilionekana kutokuleta maaa yoyote.
kitendo hicho cha Keko, kimewalazimu baadhi ya watu kuhitimisha kuwa amechizika. habari za hivi karibuni zinadai kuwa uchizi huo stori ya Keko ulikuwa ni stunt tu, aliyoitumia kufanya utafiti kujua ni kiasi gani anajulikana na watu
Keko ambae sasa yuko chini ya Sony Music Entertainment ameahirisha uzinduzi wa album yake mara tatu sasa ambapo alitangaza kuizindua mwezi wa nne tarehe 17 mpaka mwezi wa tano tarehe 4 na sasa kuipeleka mpaka mwezi wa nane tarehe 10, na inasemekana Sony nao wanataraji kutangaza siku yao ya kuzindua album hiyo.

No comments:

Post a Comment