Jan 9, 2012

walemavu Tabora wapewa angalizo

Chama cha walemavu wa ngozi mkoani TABORA kimetoa onyo kwa walemavu hao kuacha tabia ya kufanya shughuli za usiku kama kwenda disko na ulevi kwani wanahatarisha maisha yao.

No comments:

Post a Comment