Feb 15, 2012

Hussen Machozi - Jelaa {Official Video}

tukiongelea wasanii wenye utunzi mzuri wa mashairi , na mpangilio wa mawazo huwezi kumsahau msanii huseein machozi kwa nyimbo zake anazotoa na alizotoa amekuwa ni kama model kwa wasanii wengine kuachana na tabia ya kuandika mapenzi duuh. katika nyimbo yake hii ya narudi jela imekuwaa ni nyimbo ambayo imeteka mind za watu katika siku za hivi karibuni. hongera sana huseein machozi kwa nyimbo yako zuri na yenye ujumbe tosha kwa wapendanao.

No comments:

Post a Comment