Jul 7, 2012

TUKIO ZIMA LA BBM PARTY SWAGGZ MAENEO YA MBALAMWEZI

                        
Baadhi ya vijana wanaounda kundi la G5 Click.
                 
Snap za kwenye Red Carpet zilihusika pia.
                      
                         
                       
                              
                           
Pichani Juu na Chini Warembo wakionesha ufundi wao katika kucheza.
Burudani ilinogaje uliekosa ulieee tuuuuu.
MC wa Shughuli Shadee kutoka Clouds Media.
Kinakaka nao hawakubaki nyuma kwenye mayenu, haya Dogue Style haya twende kazi…
king zilla
Sehemu ya watu waliohudhuria.
Mdau akiwa na Beibebe.
 
Tukio zima limechuliwa :Chanzo:
http://dewjiblog.com/

No comments:

Post a Comment