Sep 13, 2012

yaliyojiri facebook

HUYU NDO ACTRESS WA KIMATAIFA WA TANZANIA LOL :)
Bongo movie is getting wings right now na ku-cross boarders to international levels.
Baada ya marehemu Steven Kanumba kufungua njia now ni zamu ya mwanadada Lucy Komba. According to reports doing rounds in entertainment scene ni kwamba mwanadada huyo ameingia makubalino na aliyekuwa International manager wa The late Kanumba, Mr.Richard Nwaobi, who’s also a manager to Rose Ndauka.

Few months back Lucy jetted to Ghana ambapo alienda kushoot movie ambayo ilikuwa imepangwa arekodi na Kanumba.

Confirming the news to BK, Lucy said: “Nilivyoenda Ghana nikapata nafasi ya kufanya movie nyingine nchini Searra Leone, movie yenyewe imeshakamilika na wana-plan ya kuifanyia uzinduzi kwenye nchi zote ambazo washiriki wanatoka. Movie inaitwa Repackage live. So nimefanya movie mbili, moja imeshakalika na nyingine bado wanatafuta mbadala wa Steven Kanumba”.

Lucy Komba pia amefanya appearance kwenye famous film magazine in Africa, ambayo imewa-feature mastaa kama Van Vicker, Ini Edo na wengine kibao. Kutoka Bongo walihusishwa Steven Kanumba na Lucy Komba tu.

“All publicity inasababishwa na manager wangu Mr Richard Nwaobi, magazine inaitwa Filmbiz. Inasambazwa Africa nzima na Ulaya. Content yake is all about African movies na mastaa wake, wameniuliza mengi kuhusu Bongomovie and I belive watakuja kufanya na mastaa wengine pia”- Lucy Komba.

No comments:

Post a Comment