May 15, 2013

NEW SONG:KAMA ZAMANI BY MWANA FA ft KILIMAJARO BAND. DOMO KAYA AND MAN DOJO

Rapper Hamis Mwinjuma aka Mwana FA leo ameachia ngoma yake mpya iitwayo KAMA ZAMANI aliyowashirikisha wakali wengine ambao ni Wana jenje ,Domo kaya na man Dojo.
Kupitia ukurusa wake wa twiiter nilipata nafasi ya kumuuliza ni njisi gani naweza kuupata wimbo huu , akajibu ili kuupata wimbo huu unaweza kuupata  kwa kuandika FA kwenda 15533


Tuma FA kwenda 15533 Kudownload Wimbo Wa Kama Zamani Wa MwanaFA .
Unaweza Kufanya Kuwa Muito Wako TUMA 23073 kwenda 15007 kwa Wateja Wa Tigo
CT 2980521 Kwenda 15578 Kwa Airtel na BF1962 kwenda 15577 kwa Wateja wa Vodacom
Keeping The Good Music Alive



Follow @mwendapole1 on Twitter!
Like us on Facebook!

No comments:

Post a Comment