May 15, 2013

YALIYOJIRI FACEBOOK NA TWIITER MUDA HUU ZAID NI KUHUSU ZITTO KABWE, LADY JAYDEE, Mx CARTER, BONGO5

MH ZITTO KABWE
Kupitia facebook
Waziri wa Viwanda na Biashara ameagiza mabadiliko ya kanuni katika Sheria ya Hakimiliki ili kuhakikisha kwamba Wasanii wa muziki hapa nchini wanapata mapato stahiki katika biashara ya #RBT . Mirahaba katika biashara ya miito ya simu na matangazo ya televisheni na radio Ni mapato muhimu sana Kwa wasanii. Angalau sasa tunaona Mwanga. Tutaendelea kuishinikiza serikali kulinda wasanii na Hakimiliki zao.
 lady jayDee@jideJaydee
@JideJaydee kupitia twiiter 
Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?



@MxCarter kupitia twitter
Dear bloggers wimbo wa Kama Zamani tutaomba usiwe na free downloads kwa visitors wenu kupata wasaha wa kusikiliza wimbo huu tutatuma link!


 
Quick Fact: Video ya Kama Zamani ya @MwanaFA itakuwa na version nne! ya Ogopa, ya @Karabani , ya Saleh na ya Godfather (SA) ya, bongo5 pia!!!

 Follow @mwendapole1 on Twitter!
Like us on Facebook!

No comments:

Post a Comment