Aug 29, 2013

ETO'O ATUA CHELSEA

Mshambuliaji Samuel Eto'o apata dili la mwaka mmoja lenye thamani ya £7million kwa mkataba wa mwaka mmoja leo Alhamisi baada ya chelsea kukiri kushindwa kumpata mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney.
Eto'o, 32, amekubali kupunguza dau lake alilokuwa akilipwa na Anzhi kiasi cha £17milion kwa mwaka na sasa atasaini akiwa huru.

No comments:

Post a Comment