Aug 25, 2013

TAARIFA

Tunatumai huu mzima  na umeamka salama ndugu mpendwa msomaji wa mtandao huu,
Tunapenda kuhufahisha umma ,kuwa kuanzia leo tutakuwa hewan na katika kupashana habari mbalimbali ziwe ni uchambuzi,makala na taarifa zitufikiapo papo kwa papo yaani breaking news.
Ili kufanikisha hilo tungependa tupate watu wowote watakao kuwa tayari kufanya kazi nasi kwa kurekebisha mtandao huu.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa wote watakao kuwa tayari kushirikiana nasi kwenye hili

 Imetolewa na
mwendapole1
0658764058

visit as
 Follow @mwendapole1 on Twitter!
Like us on Facebook!

No comments:

Post a Comment