Jan 27, 2012

YALIYOJIRI FACEBOOK

Hakika uyu ni mtu makini na anaona mbali,yote aliyowaambia watz wampe nafas ili yasije tokea hivi leo yametokea sukari inapanda bei,mchele,cement,walimu bado wananyanyasika,madaktari hawathaminiwi ona tunavyopoteza ndugu jamaa na marafiki kwa kukosa matibabu,watoto hadi drs la nne wanafunga barabara,rushwa inaendelea kutapakaa kili kona,mafisadi wa epa wamekiri kosa lakini hawachukuliwi hatua yoyote,mafuta yamekuwa adimu kwa maslihi ya vigogo..huyu ndie raisi wa watanzania mtetez wa wanyonge naamini watz leo wanafunguka macho kila siku naamini siku akiwa raisi wa tanzania atafanya mengi kulinusuru taifa,mungu akujalie maisha marefu dr w,p slaa.

    

Chagua jibu lililo sahihi! Ni singo gani inayokuvutia zaidi kipindi hiki? (A) Madaktari kugoma. (B)Vazi la Taifa. (C) Rais nje ya Nchi (D) Makali ya umeme kupanda bei. Nawatakieni QUIZ njema na Ijumaa iliyo tulivu!
 
Siku nyingine tena, Mungu akijalia uhai, Ijumaa ijayo nitakuwa na Illmatix, Ndani ya Bongo Records. Big up to Majani, A Legend indeed!
 
‎....ni juma PILI HII PALE MAISHA CLUB,,JUMUIYA YA MAGENGE NA VINEGA WOTE DAR ES SALAAM,,TUTATISHA PAMOJA KIPANDE YA MAISHA CLUB...
 
‎........Kwa siri sana...siri sana...nasikia Samuel Eto'o amewahi kuja nchini tena kumfuata yule dada yetu wa Kitanga....na nasikia yule dada ameitwa sana Milan miaka ya karibuni...yule binti ni wa Tanga jamani...na hapo ndipo nilipoamini ukweli wa hii habari. dah sasa Samuel anapokea mil 900 kwa wiki...huyu binti atatusumbua sana hapa mjini. dah kweli Tanga noma. MSININUKUU..!!!!
 
I Once Said n Am Sayn T Again...

Kama Mtandao Wako Wa Cmu ni TIGO, Bank Ni NMB na Umeme Wako ni wa TANESCO daaah, U Likely 2 die verry Soon..
HAWA JAMAA DAAH..
 
KUNA WATU WANAUTAKA KWELI URAIS, WANAUTAKA KWELI KWELI, lakini kuutaka na kuupata ni vitu viwili tofauti!
SIJUI kama wautaka ili wawatumikie Watanzania au kwa sababu tu ya mazingira mazuri yaliyopo pale ili waweze kufanya biashara wanufaike kiuchumi!
Wakati miwngine nikienda pale Ikulu huwa namwambia rais, ndugu yangu pole kwa sababu Ikulu ni mzigo mkubwa sasa hawa wanaoutaka kwa nguvu wanataka kwenda kuubeba mzigo huo mzito? Labda wawe wanakwenda kufurahia mazingira ya ikulu kama wananya biashara na si kutumikia wananchi---maneno ya Waziri Mkuu MIZENGO PINDA katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari
imetimia miaka 11 tokea nianze kukusikiliza, kuanza HISTORIA YA KWELI mpaka leo hii ushatoa albam na track kibao, we ndio msanii wa kwanza kukushabikia wakati bongo fleva inaanza, miaka 12 ni dozen lkn bado unakazA, we ndio messi wa bongo fleva, nyimbo zanu zinanikumbusha enzi za kishuke shule kuanzia forest hill sec school mpaka makongo sec, zinanikumbusha mango park,moro, bill canaz dsm, much respect to u dully syskes mr misifa, hope utafia stejini, we ni mkali

No comments:

Post a Comment