Aug 16, 2012

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wabunge  nje ya ukumbi wa Bunge leo, mjini Dodoma.
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza (kushoto aliyenyoosha mkono) akizungumza na Mbunge wa  Jimbo la Sumve, Richard Ndasa katika ofisi za Bunge  mjini Dodoma leo, baada  ya kuwasilisha kauli ya Serikali kuhusu utaratibu wa  Ruzuku  ya Pembejeo  kwa Wakulima kwa mwaka 2012/2013. Katikati ni Naibu wake Adam Malima.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza(kulia aliyegeuka)  akisikiliza jambo kutoka  kwa  Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo na  katikati ni Mbunge wa  Jimbo la Sumve, Richard Ndasa katika ofisi za Bunge  mjini Dodoma leo, baada  ya kuwasilisha kauli ya Serikali kuhusu utaratibu wa  Ruzuku  ya Pembejeo  kwa Wakulima kwa mwaka 2012/2013.

No comments:

Post a Comment