Aug 16, 2012

PICHA ROBIN VAN PERSIE AKIWASILI OLD TRAFFORD

United iliipata saini ya mchezaji huyo jana usiku, baada ya Arsenal kukubali kumuuza Van Persie wapinzani wao wa taji la Ligi Kuu kwa pauni Milioni 24.
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano na Arsenal na mshambuliaji huyo wa Uholanzi, United imewapiku Manchester City na Juventus mbi za kuwania saini ya Van Persie mwenye umri wa miaka 29 na leo atafanyiwa vipimo vya afya Old Trafford. Photo: VAN PERSIE NDO HUYO AMEKWENDA OT.
Wangapi wanafurahia usajil huu ,kwa man untd?

Like==tag =tag tag tag tag tag tag tag tag tag tag tag tag tag tag

No comments:

Post a Comment