Aug 14, 2012

JACKIE CHAN KUWASIRI KENYA WEEK HII


Jackie Chan

 Yao Ming

Muigizaji kutoka China anayekwenda kwa jina la Jackie Chan ni miongoni mwa Celebrities wa Kichina anayetarajiwa kuwasili nchini Kenya week hii. Jackie ataongozana na mcheza kikapu Yao Ming. The two are said to be coming into town to shoot a massive campaign for Chinese television.
Campaign hiyo imejikita zaidi katika maswala ya kuzuia ununuaji wa Pembe za Ndovu na Vifaru kutoka Kenya na kupelekwa nchini China kuuzwa.
Kwa upande mwingine  Yao Ming, ni professional basketball player aliyestaafu kucheza kikapu kutoka China, anakumbukwa sana kwani kabla ya kustaafu aliyeichezea Houston Rockets of the National Basketball Association (NBA). Na katika msimu wake wa mwisho ndio alikuwa mchezaji Kikapu mlefu katika ligi ya NBA.

 story:baabkubwa magazine

No comments:

Post a Comment