May 15, 2013

DIAMOND AKIWA AMEVAA GWANDA LA MP -JESHI LA DR CONGO |“Chef de l’armée… #CoNgo

Picha: Diamond avaa gwanda la jeshi la DR Congo kwenye show nchini humo

diamond-platnumz-jeshi-drc-dr-congo-pichaDiamond akiwa amevaa gwanda la MP wa Jeshi la DR Congo kwenye ziara yake nchini humo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo @ Instagram. Nadhani hii ni kuonyesha solidarity na watu wa DRC katika wakati huu ambapo majeshi ya Tanzania yametinga nchini humo kusaidia kurejesha amani.

No comments:

Post a Comment