Mar 12, 2012

matukio weekend


MDUARA WAZIDI KUSHIKA KASI, HUKU AKINADADA WAKIOGELEA KAMA SAMAKI STEJINI


 Wasanii wa kundi la Offside Trick wakilishambulia jukwaa pembeni yao mwanadada akiachia nyonga.
 Msanii Easy Man akikamua stejini huku akipambwa na warembo waliosindikiza.
AT na Shilole wakiwapagawisha mashabiki.

Mnenguaji wa kundi la Shilole akionyesha ujuzi wa kuogelea kama samaki stejini.
WASANII Dogo Mfaume, Easy Man na kundi la Jaguar jana walifunika vilivyo kwa upande wa Mnanda huku Offside Trick wakisindikizwa na Hammer Q, AT na Shilole wakiangusha bonge la burudani na kuwarusha vilivyo wapenzi wa Mduara waliofurika katika ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem.

No comments:

Post a Comment