Mar 14, 2012

YALIYOJIRI FACEBOOK ^*& TWITTER


Again, Nashukuru kwa birthday wishes..zilikuwa nyingi mno,nisingeweza jibu zote,lkn nimeziona na nimeona tulivyo wamoja,ahsanteni sana..bless
 ·  ·  · 9 hou
Tabia Yako Sawa Na Sura Yako!!!
 ·  · @Allan_Lucky on Twitter · 5 hours ago via Twitter · 
  • 3 people like this.
  • Kila napoufikiria muziki wa kizazi Kipya inasikitisha mpaka leo hakuna record ya msanii hata mmoja aliyewahi kufikia mauzo ya Platinum kwa album zao, na kibaya zaidi mauzo yao ndo yanazidi kushuka... Tatizo liko wapi? kwa msambazaji, kwa wanunuaji au kwa msanii mwenyewe?
     ·  ·  · 10 minutes ago ·
    Team Breezy! The first of many Fortune webisodes are here! Check out Chris backstage in Miami with Pitbull breaking out his best dance moves. Watch below and stay tuned for more!
    vimeo.com
     ·  ·  · 20 minutes ago · 
    Wiz Khalifa shared a link.
    new.official.fm
    Wiz Khalifa's 2012 mixtape "Taylor Allderdice"
    Mbwiga wa mbwiguke mkola wa nyani kibwaya mkia ungarobo chenji irudi midfield dimba la juu kiungo muongo muongo mwache mwache kama napiga kumbe naingia nayo kama napga nafinya. Ukiutaka nakupa sitaki nakufanyia ubahili napiga nje ya kumi nane
    kuala lumpaaa!
    ‎"Bado maisha duni jirani/
    Vipi tujihami na wahuni wanaopeleka uchumi nyumbani?/" - One (Husika)
     ·  ·  · 8 h
    A Nigerian mom says after receiving news that her teen daughter is pregnant, "chineeke my daughter u have killed me oooo,i told u if a man touches ur breasts say DON'T! and if he touches ua vagina say STOP! u didn't listen 2me u stupid gal." the gal replied,"but mama i did..... he was touching both places at da same tym so i said "DONT STOP"
     ·  ·  ·
    Sihitaji kujua hesabu ya mema na mabaya,
    kwani anachofanya Wema ni sinema au umalaya?
    nadhani bado mapema na kusema sitogwaya,
    Ikulu inahitaji Dokta wa kilema cha JAH KAYA..
    Chagua moja yenye BLUE au yenye NYEKENDU kisha toa maoni yako.... tupo kwenye mchakato wa kuleta kadi za uanachama.... Jisikie furaha kuwa mwana Azam FC, Timu bora bidhaa bora

No comments:

Post a Comment