Ni aibu ilioje..........? vijana tufanye kazi ,na tuache kasumba ya kukaa vijiweni au kukaa nyumbani kusubri ugali wa shikamoo.
Unapoanza kutafuta njia ya kutafuta mkate wako inabidi uchague njia sahihi . Njia zisizo sahihi zinaweza kukupelekea kufika huku au hata kupoteza umauti.
VIJANA TUFANYE KAZI NA TUEPUKANE NA KASUMBA YA KUKAA NYUMBANI KUSUBIRI CHAKULA CHA SHIKAMOO..............!!!!!!
No comments:
Post a Comment