May 4, 2012

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAITWA IKULU

Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.






Ikulu

No comments:

Post a Comment