Jun 11, 2012

NEW SONG ''LET YOU GO'' FROM ELIUD KAWALA aka EKA FROM UNIVERSITY OF DODOMA

MSANII ambaye mwenye upenzi mkubwa na muziki ELIUD KAWALA aka EKA .hatimaye ameroki nyimbo yake mpya inaokwenda kwa jina LET YOU GO.
EKA alikonga sana mioyo kwa wakazi wa BUKOBA wakati akisoma shule ya sekondari IHUNGO HIGH SCHOOL ambapo alitumia kipaji chake vizuri kuendeleza mziki wa kizazi kipya.
 EKA kutokana na haili yake ya kujituma katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya alichaguliwa kuwa kiongozi wa michezo na burudani hali hiyo iliongongeza hamasa miongon wa wanafunzi wa shule ya IHUNGO HIGH SCHOOL
 EKA ameachia kibao chake LET YOU GO huku akiomba wananchi, wapenzi na wadau wote wa mziki wa bongo fleva wampe support ya kutosha.


 

 
Singer: Eliud kawala a.k.a EKA
Song: Let you go
 Producer: Patrino
Studio: B1 record dodoma
Mixing: KID

This is ma first track for ma fans and am on ma way to give you the best of music you deserve. I count on your support as am preparing my first album titled "MOYO". This song will be accompanied with a video that will be released soon the next month. Music for life. You can send me your comments through my facebook account "Eliud Kawala" and ma mobile phone number 0759385936 or follow me on twitter @eka

tunaomba radhi kwa kushindwa kuipata nyimbo kwa wakati unaweza kutembele hulk share/EKA>LET YOU GO
SORRY

No comments:

Post a Comment