Jul 7, 2012

PICHA TANO 5 ZA PAMBANO KATI YA WEMA NA WOLPER

wakiwa mazoez muda mchache before match ni wema na rashidi matumla

 
mwanadada wolper
 
wema na wolper wakilushiana makonde

       
pambano linaendelea na mwamuzi akiwa katika
     
           mawaidha kidogo 
Mpaka mwisho pambano lilisha suruhu pasipo mtu yoyote kati yao kushinda, waingizaji hawa wameenda suruhu je hii itakuwa ni mwisho na mwanzo wa mapambano kama haya?
sina la kusema ila ki ukwel ni ideas nzuri na pongez kwa huyo aliyefikiria kuweeka mapambano kama haya.
 

No comments:

Post a Comment