Jul 26, 2012

WASANII HAWA NDO WAKALI WA CHORUS TANZANIA 2010 -2012

 
kiukweli makala hii imekuwa nzuri sana, thanky kwa waandaji bila kumsahau mkubwa Fredrick Bundala aka Skywalker. Twitter: @skywizz. Email: skywalkertz@yahoo.com. 
kupitia makala hii imeonyesha wasanii waliofanya vizuri kwenye chorus na ngoma zilizowafanya wa HIT sana
WAFUATAO NI WASANII WALIOFANYA VIZURI KWENYE UPANDE WA CHORUS:
         NUMBER 5:STEVE RnB,kupitia nyimbo aliyoshirikishwa ni TABASAMU(MR blue), BABY(baby boy), TUPO JUU.na nyinginezo nyingi
               NUMBER 4:DULLY SYKES kupitia nyimbo kama ACTION(C Pwaa), MDANANDA(shetta), AMEEN na nyinginezo.
                            
            NUMBER 3:JUX kutoka kundi la  wakacha Kupitia nyimbo kama ALISEMA, NIVUMILIE ,SIRUDI TENA na nyinginezo 
 NUMBER 2: BEN POL kupitia ngoma kama NIPOKEE, SIKATI TAMAA, I GOT IT. TAFAKARI na nyinginezo
 
      NUMBER 1:BELLE 9 Ambaye ndo ameshika number moja , na imani hata wewe unaweza kukubaliana nami ki ukwel belle 9, japo kukosa Tuzo ameendelea kuwa ni msanii mwenye kujituma na  kuonesha wasanii wengine kuwa tuzo si kitu japo inamchango fulani fulani.  Kupitia ngoma kama 255, NIMECHOKWA, NAONGEA NA ROHO , YAMEBAKI MAZOEA na nyinginezo 
Kwa maelezo mazuri na ya kina fungua video hiyo na upate kujionea kwa kina zaidi
kwa upande wangu nimejitaidi japo kuorodhesha  wasanii hawa , kufahamu kuhusu vigezo vilvyotumika watch video hapo juu.
 kwa maelezo zaidi muone Fredrick Bundala aka Skywalker. Twitter: @skywizz. Email: skywalkertz@yahoo.com.

No comments:

Post a Comment