Jun 29, 2012

PICHA;JENGO JIPYA LA BBC-BROADCASTING HOUSE,LONDON




“Siku ya mwisho kupiga kazi Bush House,” ni ujumbe kwenye mtandao wa Facebook ulioandikwa na mtangazaji mkongwe wa idhaa ya kiswahili ya BBC, Saleem Kikeke akiambatanisha na jengo la Bush house ambapo ndio makuu ya BBC London.

Jengo hili litakuwa na miongoni mwa nyumba vya habari (newsrooms) kubwa zaidi duniani.











“For the first time in our history we are bringing together the London headquarters of our News operations, our Radio operations and our Television operations in the most advanced digital broadcast and production centre in the world.”
Mark Thompson, BBC Director General

ADELE MJAMZITO, ASEMA MIMBA NI YA BOYFRIEND WAKE SIMON KONECKI


    Ni wakati ambao msanii ADELE ameonesha utayari wake wa kushare ujauzito alionao  kwa mashabiki wake.
        The "Rolling in the Deep" artist revealed the happy news

Kupitia blog yake leo june 29. ADELE ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto,pia amesema yeye na mpenzi wake SIMON KONECKI wanatarajia kupata mtoto.
  Adele continued, “I wanted you to hear the news direct from me, obviously we’re over the moon and very excited but please respect our privacy at this precious time.” Congrats to the mom and dad to be!

MCHEZAJI FILAMU TOM CRUISE & KATIE HOLMES WAPEANA TALAKA



Mara baada ya miaka takriban mitano(5) ya ndoa  Tom Cruise and Katie Holmes  hatimaye wasanii hawa maweamua kuachana ,hizi taarifa ni kwa mujibu wa watu karibu wa wasanii hawa.

       Tom Cruise, ni American film actor and producer. Amewahi kupewa chance ya kushiriki katika nomination tatu za Academy Awards na ameshinda takiriban mara tatu katika Golden Globe Awards :Filamu alizocheza ni kama  Born on the Fourth of July (1989), Jerry Maguire (1996), Magnolia (1999). ameshiriki pia katika filamu series ya  Mission Impossible .
 
       He has starred in many successful films, including: Rain Man (1988), Days of Thunder (1990), A Few Good Men (1992), Vanilla Sky (2001), Minority Report (2002), The Last Samurai (2003), Collateral (2004), na  War of the Worlds (2005).
 mwaka 2005,cruise na Paula Wagner walijikita kwenye studio yao kuproduce filamu inayojulikana kama  United Artists film studio   kama  producer

"This is a personal and private matter for Katie and her family," says Holmes's attorney Jonathan Wolfe. "Katie's primary concern remains, as it always has been, her daughter's best interest." 

The soon-to-be-ex couple are parents to 6-year-old daughter, Suri.

Cruise, 49, and Holmes, 33, were married in an Italian castle in November 2006.
  Tom cruise na  Katie Holmes in May 2009

ikumbukwe kuwa ndoa ya msanii HOLMES ni ya kwanza na huku upande wa actor yaani CRUISE ni ndoa ya tatu mara baada ya kuachana na wapenzi wake(mabishoti wa zamani) kama  Nicole Kidman na Mimi Rogers

RICK ROSS AND DRAKE WANT TO MAKE COLLABORATIVE PROJECT




A Rocky Williform Company
Rick Ross/Drake Album May Still Happen Rick Ross spoke about the probability of he and Young Money star Drake ever recording a joint album together. The two had previously mentioned wanting to release a collaborative project, tentatively-titled Y.O.L.O. (You Only Live Once), but he says that several factors contributed to it never materializing.
"It's still a huge possibility. Me and the homey stay in contact all the time and we record often," Ross told MTV's "RapFlix." "So it's just making that decision and moving forward with it. I was just focusing on Self Made Vol. 2 [and] finishing my album God Forgives, I Don't, which will be in stores July 31."

NICKI MINAJ TALKS ABOUT KISSING NAS





Nicki Minaj Talks About Kissing Nas Nicki Minaj opened to radio host Tim Westwood about her romantic scenes with fellow Queens-born rapper Nas in her recent video for the single "Right By My Side." Minaj revealed just how much the moment meant to her and why she was happy the chemistry between she and her co-star resonated onscreen.
      "But you know what, Tim, it worked, Tim," Minaj told Westwood. "It was like, hip-hop, it was just, errrrrrrr. Yes. Queens. Royalty. Yeah, I was like, 'What!? Yeah!' You know what it was though? Outside of the kiss, it just had so much chemistry. It seemed like a real relationship, like just a real hood relationship and I wanted to portray that. I wanted the song to feel like your around the way relationship because there's so much love in that. So much passion is there."

BABA WA DK ULIMBOKA AANGUA KILIO MUHIMBILI



Baba wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda akilia na kufarijiwa.
 
Na Joachim Mushi, Thehabari.com

BABA wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda amejikuta akiangua kilio kwa uchungu mbele ya wanaharakati ambao walimtembelea mwanae, Dk. Steven Ulimboka kumpa pole kufuatia tukio la kutekwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana.

Hali hiyo ilitokea jana jioni katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ambapo wanaharakati kutoka taasisi na asasi mbalimbali za utetezi wa haki za binadamu walifika kwa lengo la kumpa pole Dk. Ulimboka kufuatia kitendo kilichomfika.

Mzee Mwaitenda alijikuta akibubujikwa na machozi na kushindwa kuendelea kuzungumza alipokuwa akitoa shukrani kwa wanaharakati hao, kwa niaba ya mwanaye ambaye wanaharakati hao walishindwa kumuona wote kutokana na hali yake ilivyo sasa.

“Niseme wazi nimefarijika sana kwa ujio wenu kumwona mwanangu dhidi ya mambo ya kikatili aliyofanyiwa akitetea haki za wengine…,” alisema mzee Mwaitenda kabla ya kushindwa kuendelea na kuangua kilio mbele ya wanaharakati.

Baada ya tukio hilo baadhi ya wanaharakati walimshika wakishirikiana na wanafamilia ya mzee Mwaitenda na kumbebeleza kisha kumtoa mbele ya mkusanyiko huo wa wanaharakati na kumrudisha wodini huku wakimfariji.

Wakizungumza mara baada ya tukio hilo wanaharakati wameelezea kusikitishwa na vitendo vinavyoendelea MOI eneo ambalo amelazwa kiongozi huyo wa madaktari ambavyo vimeendelea kutishia usalama wa Dk. Ulimboka.

Akifafanua zaidi mwakilishi wa wanaharakati hao, Markos Albania alisema taarifa walizozipata usiku wa juzi kuna wagonjwa ‘feki’ ambao walijitokeza MOI huku wakitaka kulazwa wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) alipolazwa Dk. Ulimboka lakini baadaye waligoma kuingizwa wodini.

“Wapo wagonjwa ambao waliletwa na kutaka kupelekwa ICU moja kwa moja…kuna watu wanakuja usiku wa manane wakitaka kumtembelea Dk. Ulimboka…matendo yanayoendelea kutokea ukilinganisha na kauli za Serikali zilizotolewa bungeni yanatishia usalama na uhai wa mgonjwa,” alisema Albania.

Aidha amesema kitendo cha vyombo vya usalama kuendelea kumuhoji Dk. Ulimboka akiwa hoi hospitalini si vya kiungwana kwani tayari muhusika amewataja hadi kwa majina watu ambao anawashuku lakini hadi sasa hakuna aliyechukuliwa hatua yoyote.

Pamoja na hayo wanaharakati hao wameitaka Serikali kuunda tume huru mchanganyiko na raia ambayo itachunguza kiundani suala hilo, kwani hawana imani na Jeshi la Polisi ambalo limedai kuunda timu ambayo inachunguza kwa kina suala hilo.

Dk. Ulimboka ambaye ni kiongozi wa madaktari ambao wanaendelea na mgomo wan chi nzima kuishinikiza Serikali kutekeleza madai yao alitekwa juzi na watu wasiojulikana na kupigwa na kuteswa kikatili kabla ya kutelekezwa katika msitu wa Mabwepande.

*Habari hii imeandaliwa na Mtandao wa Thehabari.com (www.thehabari.com)

KUNDI LA CAMP MULLA KUPAMBANA NA BAA LA NJAA -SAHEL AFRIKA MAGHARIBI

Kundi la hip hop la nchini Kenya, Camp Mulla limeungana na kundi maarufu la duniani la muziki wa rock kutoka Uingereza Coldplay katika kampeni ya shirika la umoja wa mataifa la Oxfam ya kupambana na baa la njaa kwenye eneo la Sahel, Afrika Magharibi.
Camp Mulla ambao hivi karibuni walitajwa kuwania tuzo za BET, wameamua kutumia umaarufu wao walioupata kwa haraka duniani kwa kujihusisha na masuala ya kibinadamu.
Katika kampeni hiyo mwanamuziki wa Nigeria Ice Prince naye ameungana na Coldplay pamoja na Campmulla.

1fm1FM2967958911576628
Karibu watu milioni 18.4 wanadaiwa kukumbwa na uhaba wa chakula,huku milioni 6 wakiwa hawana kabisa chakula.
Coldplay, kundi ambalo bila shaka kwa sasa ni kubwa zaidi la rock duniani limekuwa mstari wa mbele kuliangalia suala la njaa huko Sahel, eneo linalojumuisha nchi nane kuanzia Chad hadi Senegal.
Ice Prince aliandika kwenye mtandao wa Twitter kuhusa majukumu hayo na kuahidi kutoa support; “As a West African Artiste, I’m really glad to be supporting the @Oxfam Beyond BET: Sahel Hunger crises!! We want change!”
Kwa mujibu wa shirika la kuhudumia watoto duniani,Unicef zaidi ya watoto milioni moja walio chini ya miaka mitano huko Sahel wanakabiliwa na utapiamlo mkali.
Kutokana na njaa hiyo, wakulima wapo njia mpanda kuhusu kula ama kuzitunza mbegu zao kwaa ajili msimu ujao wa kilimo, huku wengine wakianza kula matunda mwitu.


NA:bongo5

Jun 28, 2012

PICHA:HALI INAVYOENDELEA YA Dr. ULIMBOKA STEPHEN AKIWA ICU- MUHIMBILI

BAADHI YA PICHA ZILIZOCHUKULIWA ICU-MUHUMBILI ZIKIMUONESHA DR ULIMBOKA STEPHEN JINSI HALI YAKE INAVYOENDELEA.





JUSTIN BIEBER IN NUMBER ONE BILLBOARD 200 CHART


   In news that absolutely no one finds shocking, Justin Bieber is number-one on this week's Billboard 200 chart, as his new album, "Believe," solid 374,000 copies in its first week of release. That's the biggest debut sales week to date in 2012, surpassing the Material Girl's 359,000 for "MDNA."
Justin Bieber Tonight Show Peformance
       The figure also represents a personal best for The Biebs. He previously sold 291,000 albums of "My World 2.0" in April 2010.
Justin, of course, has been anywhere and everywhere this week for promotion. The above still was snapped of him during a performance on The Tonight Show with Jay Leno, while he actually stopped for a sing-along with fans prior to making that appearance.
        He also engaged in a pretty great Awesome-Off with Jimmy Fallon earlier in the week.


ALI KIBA AMETUA BELGIUM TAYARI KWA ZIARA YAKE YA ULAYA



 
Mwanamuziki wa kizazi kipya Ali Kiba (kulia) akiwa ametua Belgium tayari kwa makamuzi ya ziara yake ya Ulaya atakayoianza Weekend hii ambapo Tarehe 14 July 2012 atawasha moto Copenhagen, Denmark. Pichani Ali Kiba akiwa na wenyeji wake.

PAMBANO LA DRAKE & CHRIS BROWN NI $1 MILLION KWA KILA MTU

110495-chris_brown_drake_potw_617_409 



  Kufatia mgomvi uliojitokeza kati ya Drake na Chris Brown katika ukumbi wa W.I.P NIGHT CLUB, hatimaye pambano limetanganzwa endapo wawili hao wataridhika kuingia ukumbini na kuzichapa LIVE
      , a celebrity boxing promoter has offered each artist $1 million to get in the ring together.
CNN reports that the promoter, Damon Feldman, says he has financial backing from Alki David and he also says that he’ll donate $1 million to a charity for abused women if the fight goes down.
       Feldman says the fight would feature three-minute rounds, with the participants wearing over-sized gloves and protective head gear.
Feldman is the same promoter who has put on fights involving ex-baseball outfielder Jose Canseco, Lindsay Lohan’s dad Michael and Rodney King.
         The promoter has yet to receive a response from either parties, but he’s also asking Rihanna to be a ring girl for the fight, although he knows the chances of that are unlikely.

RIHANNA CENTRAL LONDON SWEAT SESSION


                                                                                                      
    Taking a break from her television production efforts to keep up on her physical fitness, Rihanna paid a visit to Fitness First gym in Central London on Thursday evening (June 28).
Clad in a black Adidas tracksuit and black Brooklyn hat with sunglasses and a gold chain, the 24-year-old singer signed autographs as she exited her hotel before making the short trip to the nearby gym.
              The sweat session follows quite the ambitious previous night for RiRi, as she worked with Girls Aloud star Nicola Roberts and fashion designer Henry Holland until the wee hours of the morning on her still unnamed Sky Living fashion show.
Tweeting about the endeavors once wrapped up, the "We Found Love" singer tweeted, "To my friends at Sky Living, thank you for working with me all the way til 5am this morning! I’m happy to be a part of the fam, WELL DONE!!"


      SOME PICTURE:                       











                                                 
 

HAWA NDO WAPENZI WALIOWAHI KUWA RIHANNA



Hawa ndio waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rihanna ,Ndio maana anajita Bad girl, Rude girl Rih Rih .

Chris Brown ,Dudley O'Shaughnessy , Ashton Kutcher ,Drake , Matt Kemp ,Meek Mill

Huu alikuwa na Rihanna zamani lakini hakutangaza mahusiano yao anaitwa Shia Lebeouf ni star wa filamu marekani

  

PICHA ZA NYUMBA YA PETER &PAUL aka P SQUARE (THE SQUARE VILLA)




         Wakiwa Na Boss Wao Akon Wa Convict Music .
Kwa Njee Crib Yao Ilivyo
Swimming Pool Sasa
Swimming Pool Inavyo Onekana Kwa Juu





Guest Room


To The Bed Room
 Hard Work Pays

Na Hii Ndio Private Jet Yao Aka Ndege Yao Binafsi

Ndege Ilivyo Njee



Ilivyo Ndani

      


NA;sammisago