Feb 21, 2012

shida ya maprnzi kwa mtu usiye mpenda ni haya


Je unafahamu dharau ya mambo madogo inaweza kuleta shida katika maisha????

Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na mambo mengi ikiwemo mazuri na mabaya,sasa katika hayo mambo ni muhimu kuwa makini ili usijikute unadharau yaliyo muhimu mfano kama kudharau kazi ambayo inakuingizia kipato au kudharau kazi za watu wengine,,pia kutoa majibu yasiyopendeza, kutosalimiana na watu,, kutoonyesha kujali mtu anapopata matatizo na mambo mengine mengi yanayoendana na hayo.

No comments:

Post a Comment