Apr 22, 2012

LINAH HAWAPAGAWISHA VILIVYO WAKAZI WA COLUMBUS, OHIO

Linah mwanamuziki wa kizazi kipya akifanya makamuzi Mjini Columbus, Ohio Jumamosi April 21, 2012 alipokua kwenye TAMANI US TOUR katika kiota cha maraha cha Monkey's Bar & Grill Jumamosi ya April 28, 2012 atakua NEW YORK CITY.
 
Mwnanmuziki wa kizazi kipya Linah akifanya makamuzi wakishirikiana na mwanamuziki wa kizazi kipya wa DMV AJ Ubao kwenye kiota cha Monkey's Bar & Grill Jijini Columbus, Ohio na kukidhi kiu ya mashabiki wa jiji hilo.
AJ Ubao akienda sambamba na Linah kwenye show ya nguvu ndani ya kiota cha Monkey's Columbus, Ohio na kumaliza kiu ya mashabiki waliokua kuwa na shauku ya kumuona Linah mwananmuziki anaye kuja juu kama moto wa kifuu nyimbo zake anazoimba kwa ustadi mkubwa huku aikisindikizwa  na mwanamuziki maarufu kutoka DMV AJ Ubao wote kwa pamoja walikonga nyoyo za mashabiki kwa makamuzi ya kufa mutu..
Juu na chini ni mashabiki wa Columbus, Ohio na Vitongoji vyake wakipagawika na show
Mwanamuziki Linah akiimba na mashabiki wakiduarika.
Mashabiki kutoka kila kona wakipata kile roho ina penda.
Mashabiki wa Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wakiwa ndani ya Monkey's Bar & Grill wakipata picha ya pamoja huku wakifuatilia show ya Linah.
Mashabiki wakipata picha ya kumbukumbu.
Mashabiki waliokuja kwenye show ya Linah na AJ Ubao wakipata picha ya pamoja wa pili toka kushoto ni Miss Kigoma.
Mashabiki waliofika kuona show ya Linah mjini Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
 
Dadaz wa Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
Dadaz wa Columbus, Ohio wakiwa kwenye show ya Linah na AJ Ubao.





PICHA NA MATUKIO YOTE NI KWA HISANI YA VIJIMAMBO

No comments:

Post a Comment