Apr 22, 2012

MISS TABATA NAO HALI YA USHINDANI WA TAJI LA UMISS WASHAMILI


 Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Ukonga 2012 wakiwa katika pozi ndani ya fulanazz zao kutoka kwa mmoja wadhamini wa shindano hilo KIOTA JUNGLE-"TRULY TANZANIAN COMFORT.Habari zao zaidi nihttp://www.kiotajungle.com/
 akikisha hukosi show hii May 5,2012, mambo ya mugongo mugongo .
Msanii wa Filamu za Bongo Rich Rich akizungumza na warembo katikia kambi yao ya mazoezi . Rich Rich na timu yake walitia mguu kambi hii ajili ya kuangalia warembo watakao shiriki katika moja ya filamu zake mpya.

No comments:

Post a Comment